Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (Kulia wanaoshuka ngazi), akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini, Mhe. Daniel Nsanzugwanko, baada ya kumalizika kwa mjadala wa mchana kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/2018 na Mwongozo wa Kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2017/2018, Bungeni Mjini Dodoma.
Friday, 4 November 2016
RAILA CLAIMS JUBILEE GOVERNMENT WON'T TACKLE CORRUPTION
ODM leader Raila Odinga at Isiolo Stadium on November 3, 2016. PHOTO | PHOEBE OKALL | NATION MEDIA GROUP
By KENNEDY KIMANTHI and VIVIAN JEBET
The Jubilee government will not tackle corruption because its top leaders are beneficiaries, opposition leader Raila Odinga has claimed.
STALLED SGR SECTION COSTING TAXPAYERS DEARLY
In July Mombasa High Court ordered the government to compensate two companies Sh1 billion before works on a section of the Standard Gauge Railway proceeded. FILE PHOTO | NATION MEDIA GROUP
By BRIAN OCHARO
Taxpayers are incurring huge losses due to delayed construction of a section of the Standard Gauge Railway which was temporarily suspended by the court, Court of Appeal in Mombasa heard Thursday.
STUDENTS WHO WERE ARRESTED HAD BEEN GOING TO JOIN SHABAAB, POLICE SAY
Armed Administration Police officers in Isiolo on November 1, 2016. PHOTO | VIVIAN JEBET | NATION MEDIA GROUP
By VIVIAN JEBET
Three students who were arrested in Isiolo last week were on a mission to join terror group al-Shabaab in Somalia, police have said.
KENYA TO WITHDRAW TROOPS FROM SOUTH SUDAN
President Uhuru Kenyatta congratulates Officer Cadet Sarah Muthoni of Kenya Air Force for emerging the winner of the Best Officer Cadet in Academic Studies during the officer cadets commissioning parade at the Kenya Military Academy in Lanet, Nakuru County, on November 3, 2016. Kenya will withdraw troops from South Sudan. PHOTO | SULEIMAN MBATIAH | NATION MEDIA GROUP
By CAROLINE WAFULA
President Uhuru Kenyatta has said Kenya will stop its contribution to the South Sudan peace mission following the sacking of Lt-Gen Johnson Ondieki as commander of the UN Mission in South Sudan (Unmiss) in the war-torn nation.
KCPE EXAMINATIONS CONCLUDE WITH NO CASE OF CHEATING
Candidates of Kenya Certificate of Primary Education examinations at Shauri Moyo Primary School in Kisumu sit for their last examination on November 3, 2016. PHOTO | TOM OTIENO | NATION MEDIA GROUP
By MUTHONI MUCHIRI
The Standard Eight examination was on Thursday concluded with no case of cheating recorded – a remarkable break from previous years in which the exam has been marred by massive irregularities.
MORE THAN 200 MIGRANTS DROWN IN MEDITERRANEAN OFF LIBYA COAST
Migrants and refugees panic as they fall in the water during a rescue operation of the Topaz Responder rescue ship run by Maltese NGO Moas and Italian Red Cross, off the Libyan coast in the Mediterranean Sea, on November 3, 2016. PHOTO | AFP
By AFP
ROME
At least 110 migrants are feared drowned after they were forced at gunpoint to set sail from Libya, while many more may have died in a separate shipwreck, survivors said Thursday.
Thursday, 3 November 2016
SINGIDA: ENEO LA UZALISHAJI UMEME WA UPEPO NCHINI
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Dodoma
Maeneo ya Kititimo na Kisaki mkoani Singida yametajwa kuwa ni miongoni mwa maeneo mazuri nchini yenye uwezo wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu ya upepo.
WANAFUNZI WA NELSON MANDELA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUSAIDIA KUTATUA MATATIZO YA MAZINGIRA, MAJI
Pichani juu na chini ni Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya EU kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland Van De Geer akihutubia wanafunzi wa vyuo mbalimbali katika ukumbi Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela ambapo alifanya ziara ya kutembelea Chuo jijini Arusha.(Picha na Ferdinand Shayo).
UNESCO YAKEMEA SHERIA ZINAZOKANDAMIZA UHURU WA HABARI
Mkuu wa idara ya mawasiliano na habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, lililofanyika jana jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
WAKATI Bunge la Tanzania wiki hii linatarajiwa kujadili na kupitisha muswada wa habari, Shirika la Umoja wa mataifa la Elimu, sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehadharisha juu ya uwapo wa sheria zinazotishia uhuru wa vyombo vya habari.
EXCLUSIVE: TIMIZA NDOTO YAKO NA WEZESHA MZAWA, NUNUA GARI, KIWANJA, BAJAJ WATAKULIPIA!
Kampuni yaako ya Wezesha Mzawa inakupa fursa ya kumiliki kitu chochote ukitakacho maishani.
Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia halafu wewe utatulipa taratibu ndani ya muda wa miezi 6 hadi miaka 5.
Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia halafu wewe utatulipa taratibu ndani ya muda wa miezi 6 hadi miaka 5.
SIKU 365 ZA DKT. MAGUFULI, HALMASHAURI ZAPOKEA BILIONI 177 MIRADI YA MAENDELEO
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametimiza siku ya 365 Watanzania wameona, kushuhudia utendaji na mwelekeo wake wa kuiongoza Serikali ya Awamu ya Tano kwa mafanikio.
Kauli hiyo imetolewa na leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa kabla ya kuanza kujibu maswali ya papo kwa papo ambayo huulizwa na Wabunge kwa Waziri Mkuu kwa kumwomba Naibu Spika Dkt. Tulia Akson kuridhia kuwakumbusha Watanzania kuhusu muda wa uongozi tangu Rais Dkt. Magufuli aingie madarakani.
SERUKAMBA: TUMEKAMILISHA KAZI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI
Na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imemaliza kazi yake ya kupitia maoni yailiyowasilishwa na wadau, taasisi na wananchi ili kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari nchini ambao unatarajiwa kusomwa kwa mara ya pili Bungeni hivi karibuni.
MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI UNALENGA KULETA HESHIMA KWA WATANZANIA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakiendelea na kazi ya kuchambua maoni yaliyotumwa na wadau wa habari ili kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo mjini Dodoma.
(Picha na MELEZO)
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii inaendelea na kazi yao ya kutunga Sheria ya Huduma za Habari kwa kutumia maoni yaliyowasilishwa na wadau mbalimbali na kuwasilisha Serikalini kabla ya kupelekwa Bungeni ili muswada ukajadiliwe na Wabunge na hatimaye kupatikana Sheria ya Habari ambayo inalenga kuleta heshima kwa Watanzania.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Peter Serukamba amebainisha hayo leo mjini Dodoma alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kabla ya Kamati hiyo kuendelea na kazi yake ya kuchambua maoni yaliyotumwa na wadau wa habari ili kuboresha Muswada huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kusomwa kwa mara ya pili.
Serikali imekuwa ikiwasikiliza wadau wa habari kwa muda mrefu licha ya kuwa na tabia ya kutokuwasilisha maoni yao kila mara wanapoomba kupewa muda wa kutoa maoni yao juu ya kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari nchini.
BODI YA ITHIBATI YA WANAHABARI HAIKANDAMIZI UHURU WA HABARI
Nape Nnauye, Waziri mwenye dhamana ya habari
Benjamin Sawe - Maelezo
Wanadamu wameumbwa kwa hulka ya kuwa na uwezo wa kuwasiliana miongoni mwao, jamii wanamoishi, taifa na hata ulimwenguni ili waweze kutimiza nia na azma yao ya kuwasiliana.
DIRA YA MTANZANIA YAOMBA RADHI KWA JWTZ KUHUSU HABARI YA "KUIBWA KWA KIFARU CHA KIVITA"
UONGOZI wa kampuni ya DIRA NEWSPAPER COMPANY LTD wachapishaji wa gazeti DIRA YA MTANZANIA unamwomba radhi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa nchi na jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ujumla kwa habari iliyochapishwa kwa bahati mbaya katika gazeti letu; toleo Na.424 la Juni,20-26 ,2016 iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho “KIFARU CHA KIVITA CHA JWTZ CHAIBWA”.
Tunapenda kueleza kwa masikitiko kuwa habari hiyo ilichapishwa kwa bahati mbaya baada ya mtayarishaji wa kurasa (graphic designer) kuipanga habari ambayo ilikuwa haijakamilika kiuchunguzi na kuiacha iliyotakiwa ichapishwe siku hiyo.
RPC KINONDONI ATOA TAHADHARI KWA WAMILIKI WA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM
RPC Suzan Kaganda
|
Na Dotto Mwaibale
WAMILIKI wa magari wametakiwa kuchukua tahadhari ya kuzima na kufunga milango magari yao pale wanaposimama kwa dharura kupata mahitaji mbalimbali ili kuyanusuru kuibwa.
Mwito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Suzan Kaganda wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu tukio la kuibwa kwa gari la Kapteni Innocent Dallu maeneo ya Mbezi Juu huku akiwemo mtoto wake Lightness.
MD KAYOMBO AMUAGIZA AFISA MTENDAJI KUSIMAMIA MAPATO YA SOKO KWA UAMINIFU
Afisa Mtendaji wa Kata ya Mburahati Jijini Dar es salaam ametakiwa kusimamia kwa uaminifu mapato ya soko Mburahati ili kuimarisha mapato ya Manispaa hiyo ambayo yataimarisha uboreshaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi.
TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI MUHIMBILI JIJINI DAR
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Moi akifungua rasmi sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi Duniani,ambapo alisema wanakazi kubwa ya kutoa matibabu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo na mifupa na mpaka sasa watoto takribani 202 wameshafanyiwa upasuaji na zoezi linaendelea Nchi nzima.
Mwenyekiti wa chama cha wazazi wenye watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi Bw. Hakim ambaye nae mtoto wake anamatatizo kama hayo akielezea kuwa kuna umuhimu wa kutoa elimu kwa kuwa watu wengi wanahusisha tatizo hilo na imani potofu, aliongeza kuwa watoto waliofanyiwa upasuaji mkoa wa Mbeya ni 18, Morogoro 12, Mwanza 50, na Izazi 14. na wamefanikiwa kuokoa Maisha ya watoto 185 katika mikoa 16 Tanzania.
Meneja wa Nakiete akitoa neno wakati wa Maadhimisho hayo
Mmoja wa wazazi akiwa na Mwanae mwenye tatizo la Kichwa kikubwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Moi (Kushoto) akipokea Msaada kutoka Duka la madawa la Nakiete
Madam Sophia Mbeyela (Kulia) akitoa msaada kwa watoto hao
Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao wenye vichwa vikubwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Moi wa pili kutoka kushoto akipokea Msaada viti 15 vya kutembelea 'wheel chair' watoto kutoka kwa Mohamed Punjan Foundation.
Wednesday, 2 November 2016
WATEJA WA TIGO PESA KUVUNA BILIONI 6.04 GAWIO LA KUMI LA ROBO MWAKA
Mkuu wa Huduma za Fedha kwa njia ya simu wa Tigo Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu, Wateja Tigo Pesa kuvuna 6.04bn/- (dola 2,763,636) gawio la kumi la robo mwaka. Kulia ni Meneja Masoko na Usambazaji Huduma za Kifedha wa Tigo, Catherine Rutenge.
Subscribe to:
Posts (Atom)